Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, January 6, 2014


 
Ice Cube ni moja kati ya rappers walioanza game ya rap kwa tarkribani miaka 30 lakini pamoja na hayo kuna vitu anavijutia.
Akiongea katika kipengele cha“Ask Me Anything kinachoendeshwa na  kituo cha Reddit,alipoulizwa jambo gani huwa unajutia katika muziki,alisema "Not being able to work with Dr. Dre as much on music,” akimaanisha anajutia kutokufanya kazi za muziki zaidi na producer Dr Dree.

Rapa huyo toka pande za The South Central Los Angeles aliamua kuupumzisha muziki na kuwekeza zaidi katika masuala ya uigizaji wa filamu na alifanya vizuri zaidi na filamu yake ya Friday.
Ice Cube amesema "The next Friday ipo katika maandalizi ya mwisho.

Ice Cube yupo katika project ya AMA na mchekeshaji Kevin Hart kupromote filamu ya Ride Along ambayo itaingia katika majumba ya sinema January 17.
Ice Cube na Dr Dree walikuwa pamoja katika kundi la NWA aka Niggaz With Attitude ambalo lilikuwa na vichwa kama Ice Cube, Dr Dre,Eazy-E,MC Ren & DJ Yella wote wakitokea maghtoni pande za Compton.kundi lilianzishwa mwaka 1986 na kufanya albamu kama: Straight Outta Compton, Niggaz4Life, Record labels: Priority Records, EMI, Ruthless Records, Capitol Records, Interscope Records
  • Nominations: American Music Award for Favorite Rap/Hip-Hop Artist
  • Fuck the Police1988Straight Outta Compton
    Straight Outta Compton1988Straight Outta Compton
    Express Yourself1988Straight Outta Compton
    Gangsta Gangsta1988Straight Outta Compton
    Alwayz into Somethin'1991Niggaz4Lif

    0 comments:

    Post a Comment