Orodha ya South Africa’s hottest MC’ imetolewa huku rapper Cassper Nyovest, akitajwa kushika namba 1 kwa mara nyingine huku akiwaacha wapinzani wake wakikosoa na kuipnga vika mpangiliohuo.
Masahabiki wengi wengi wamekosoa na kutoa maneno makali kupitia mtandao watwitter haswa bada ya rapa Super Mega, AKA kutajwa kushika namba 5 katika orodha hiyo.
Tazama orodha hiyo hapo chini:
10: Gigi Lamayne
9: Okmalumkoolkat
8: A-Reece
7: Fifi Cooper
6: Riky Rick
5. AKA
4. Kwesta
3. Nasty C
2. Mtee
1. Cassper Nyovest
0 comments:
Post a Comment