Serikali ya Australia imetoa tamko ya katazo la kumpatia kibali muimbaji Chris Brown kuingia nchini humo na kufanya shughuli zake za muziki katika ziara yake.
Waandaaji wa matamasha yaliyopangwa kufanyika katika nchi za Australian na New
Zealand wametangaza kutokuwapo kwa matamasha hayo hivi karibuni mpaka hapo wahusika watakapoweka sawa mambo na kumruhusu star huyo kuingia nchini humo kufanya shughuli zake za muziki.
Wednesday, December 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment