Hivi karibuni habari za rapa na m bunifu wa mavazi Kanye West kulazwa hospilini kwa matatizo ya uchovu,upungufu wa maji na matatizo ya akili zilipamba vichwa vya habari.
Hbari hizi za ugonjwa wa Yeezy kila mmoja kazipokea kivyake lakini rapa na boss wa MMG Rick Ross alizipokea tofauti na hatimaye kuamua kuweka wazi hisia zake juu ya taarifa za ugonjwa wa Kanye West.
Akiwa amezongwa na umati wa watu waliokuwa wamefurika katika duka maalumu la kuuza bidhaa laq rapa A$AP Ferg’ huko New York yesterday (December 11), Rick Ross alishika kipaza kuwongea na mashabiki wake na ndipo alipomtupia kijembe Kanye West kwa kusema: One time for Yeezy,” “My homie a genius. And for everybody who thought he was weirding out, he played y’all niggas.” akimaanisha Kanye ni m bunifu na msanii,kwa yeyote aliyetilia manani kuugua kwake alichezewa akili.
0 comments:
Post a Comment