Mtandao digitali unaojishughulisha na muziki,Spotify wametoa tathmini ya wasanii ambao kazi zao zinatazamwa na kushuswa mitandaoni ( dowload) kwa mwaka 2015 na kuandika kwamba rapa toka Toronto,Canada,Drake ndiye anayeongoza kazi zake kusikilizwa,kuangaliwa na kushushwa.
Drake zaki zake zimeangaliwa na kushushwa kwa zaidi ya mara bilioni 1.8 na kusikilizwa zaidi ya mara milioni 46.
Drake anafuatiwa na na The Weeknd na Kanye West kama wasanii wanosikilizwa,kutizamwa na kazi zao kushushwa zaidi United States.
Albamu ya Weeknd Beauty Behind the Madness ndiyo albamu iliyoshushwa zaidi ikifuatiwa na albamu ya Drake If Youre Reading This Its Too Late.
Rihanna ametajwa kuwa msanii wakike ambaye kazi zake zimetizamwa na kushushwa kwa zaidi ya mara bilioni na kusikilizwa na wasikilizaji millioni 57.
Upnde wa wakina dada wanaoongoza kazi zao kutazamwa kusikilizwa na kushushwa ni Nicki Minaj, Beyonce na Rihanna.
Wednesday, December 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment