Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 2, 2015

 Kendrick Lamar
Jarida linaloandika habari za watu maarufu kuanzia katika siasa mpaka burudani la marekani linalotoka kila wiki,Rolling Stone,limetaja albamu 50 zilizofanya vizuri kwa mwaka huu wa 2015.
Katika orodha hiyo ya albamu bora 50 za mwaka 2015 albamu ya Kendrick Lamar To Pimp A Butterfly imetajwa kuongoza na kushika namba 1.
Albamu hiyo ya tatu ya rapa toka pande za Compton,California  Kendrick Lamar imepewa sifa za kuwa ipo bora kimuziki,mistari (mashairi )na imebeba hisia.

Tazama baadhi ya nyimbo zilizopo katika orodha ya Rolling Stone Best Albums of 2015 hao chini:
1. Kendrick Lamar – To Pimp a Butterfly
2. Adele – 25
3. Drake – If You’re Reading This It’s Too Late
4. D’Angelo and the Vanguard – Black Messiah
5. The Weeknd – Beauty Behind the Madness
6. Courtney Barnett – Sometimes I Sit and Think, and Sometimes I Just Sit
7. Jason Isbell – Something More Than Free
8. Various Artists – Hamilton: Original Broadway Soundtrack
9. The Arcs – Yours, Dreamily
10. Blur – The Magic Whip
24. Donnie Trumpet and the Social Experiment – Surf
26. Future – DS2
28. Miguel – Wildheart
31. Leon Bridges – Coming Home
32. Jazmine Sullivan – Reality Show
35. Vince Staples – Summertime ’06
44. Rae Sremmurd – SremmLife

0 comments:

Post a Comment