Mrembo Karrueche Tran ambaye hivi karibuni ameripotiwa kumtema na kumkataa star Chris Brown ,,ameonekana katika pozi ama la kujiacjhia na International soccer star winga wa timu ya taifa ya Netherland na ambaye hivi karibuni amesajiliwa na kilabu cha Manchester United kwa donge nono la kiasi cha dolla millioni 40 Memphis Depay,21.Mpaka tunaingia mitamboni hakuna uthibitisho wa wawili hao kuwa wana ukaribu ama mahusiano japo mmoja kati ya watu wa karibu ka mrembo Karrueche aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown amsema Depay aliomba kupiga picha na mrembo huyo.
Friday, June 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment