Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, June 19, 2015

Lil Wayne

Lil Wayne akiwa bado katka kutoelewana na lebo yake ya Cash Money na kaiwa tayari kashamfungulia mashataka bosi wake,Birdman ameweka wazi mipango yake ya kuachia albamu yake akiwa nje ya lebo yake ya CASH Money albamu aliyoipa jina Free Weezy Album ambayo amesema ataitoa tarehe 4 july.
Lil Wayne alitangaza habari za kuachia albamu hiyo siku ya jumatano alipofanyiwa mahojiano huko Anaheim, California kwa kusema: “I got a new album coming out. It’s called FWA. It’ll be out Fourth of July,” .
Wayne amekuwa msanii mwingine kuingia katika mtandao wa nyimbo wa Jay Z,TIDAL na alithibitisha hayo alipokuwa jukwaani akitumbuiza katika tamasha la Summer Jam huko Oakland mwisho wa wiki iliyopita.
Lil Wae anaingia katika orodha ya wanamuziki mastaa wanaofanya kazi na mtandao wa TIDAL unaomilikiwa na rappa Jay - Z akiungana na mastaa kama Rihanna, Daft Punk, Alicia Keys, Calvin Harris, Jack White, Madonna, Usher na Beyoncé.

0 comments:

Post a Comment