Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, June 20, 2015

Fetty Wap: “People Used To Be Scared To Come Up To Me Because Of My Eye”

Fetty Wap amesema kuharibika kwa jicho lake la kushoto lililosababishwa na ugonjwa wa congenital glaucoma,kulimfanya wtu kutokuwa naye karibu.
Rappa Fety Wap alisema hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa jarida la VIBE “na kuongeza kusema kuwa kwasasa ni tofauti kabisa yupo karibu na watu na wanamuelewa na kumkubali.
Fetty Wap hvi karibuni ametokea katika kava la jarida la VIBE.
Fetty Waps pia alijibu maswali kuhusu yanayomsibu rappa mwenzake Bobby Shmurda kwa kusema rappa huyo kuwa jela na kuandamwa kesi zaidi ya 100 ni matokeo ya makosa ambayo anatakiwa kuwajibika nayo.




0 comments:

Post a Comment