Kutoka katika kile kilichoandikwa na polisi mstaafu wa LAPD,ni kwamba anadhani anamjua aliyeandaa mpango wa mauaji ya Tupac,”mwandishi msaididzi wa makalala iliyopewa jina ''The Russell Poole Theory'' Jeff Weiss amebainisha mambo saba wanayoyahusisha na kifo cha Tupac Shakur.
Katika makala hiyo wametajwa Puff Daddy na hata FBI.
Poole pia anasema amemshukuru mtoa taarifa ambaye ni mfungwa bw Malcolm Patton ambaye ametoa ushirikiano wa kutosha kwa polisi wa Las Vegas mnamo
1998, ushahidi ambao baadaye ulitupiliwa mbali.
Poole pia amesema anaamini Wright Jr. na aliyekuwa mke wa Suge Knight,Sharitha
Knight walihusika kupanga mauaji ili wamiliki Death Row Records.
Poole pia amemtaja rappa Lil ½ Dead aliyekuwa Death Row kipindi hicho alishiriki kwani alikuwa na chuki na Tupac kutokana na kile alichodai kwamba wimbo wa Tupac "Brenda's Got A Baby" ulikuwa ni wake,Tupac alimdhulumu baada ya kuchukua demo yake.
Saturday, June 20, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment