Mtandao wa TMZ unaripoto,Diddy alinunulia mama wa mtoto wake wa kwanza,Misa Hylton-Brim appartmen mwaka 2003.Nyumba hiyo yenye 3-bedroom sasa inapigwa mnada.
Ripoti zaidi zinadai tangu Diddy alipe kodi katika mjengo huo uliopo maeneo ya Westchester, NY, mwaka 2003 hajaulipia kodi tangu mwaka 2010.Taarifa zaidi zinasema deni limefikia kiasi cha dolla 712,000.
Bank kwasasa wanahitaji mkwanja wao lasivyo mjengo huo kupigwa mnada.
Hii sijui italeta picha gani hasa kwa mtu mwenye mkwanja kama Diddy ambaye inasmekana ni moja kati ya wanahiphop wanaolipwa mkwanja mwingi zaidi katika muziki wa hip hop.
Monday, February 17, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment