Rapa toka pande za Atlanta,Soulja Boy Tell Em anawaacha mamillioni ya mashabiki wake na wanaomfuata kupitia akaunti yake ya Twitter wakikuna vichwa baada ya kuwataarifu kwamba yupo mbioni kutumikia kifungo gerezani.Siku ya jmapili tarehe 15 feb Soulja Boy Tell Em alinadika: "5 more days until I go to jail. Appreciate everyone who was there for me while I needed y'all.Akimaanisha zimebaki siku 5 kabla sijaenda jela.Nawakubali wote ambao wapo nami ninapowahitji.
Rapa Soulja Boy Tell Em amejikuta matatani kisheria baada ya silaha kukutwa katika gari alilikuwamo japo manager wake,Miami Mike amejaribu kumtetetea Soulja Boy si mhusika.
Tuesday, February 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment