safaree Samuels siku za karibuni alifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa radio Power 105, Tim Westwood na moja kati ya maswali aliyokutana nayo ni kuhusu kama anamtambua mpenzi wa sasa wa aliyekuwa mpenzi wake,Nicki Minaj ambaye ni rappa Meek Mill ambaye ndugu mtangazaji alimtaja kuwa amemuharibia mwaka 2015 ndipo Safareealipocheka kwa kejeli na kujibu: "I don't even know who that is,"
Katika sehemu nyingine ya mahojiano hayo Safaree aliulizwa kama bado anafikiria ex wake, Nicki Minaj ambaye kwasasa yupo katika mahusiano kimapenzi na rappa Meek Milly,Safaree alijibu kwamba kwasasa anafanya mambo yake na hamfikirii yeyote asiyemuingizia.
Sunday, December 27, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment