Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 21, 2015


 Meek Mill To Miss Role In Will Smith Film Due To Probation Violation Ruling
Meek Mill ametangazwa kukosa dili la kuigiza katika filamu itakayoongozwa na star Will Smith.
Rapa Meek Mill anakosa dili hilo baada ya kuwa chini ya uangalizi kufuatia kukutwa na makosa katika kesi iliyosomwa alhamis tar 17 December na hakimu kumuamuru kuwa chni ya uangalizi na kutosafiri.
Rapa Meek Mill anaandamwa na kesi ya tukio la kukamatwa na madawa ya kulevya na silaha mwaka 2008.Hakimu amemuamuru rapa  Meek Mill asitumbuize walaasishiriki kazi yeyote mpaka tarehe ya kusomwa tena kesi hiyo February 5.
Meek Mill anakosa kushiriki filamu hiyo kwasababu itambidi asafiri kwenda Hollywood mwezi November kupangiana atashiriki vipi katika filamu hiyo iliyopewa jina “12 O’Clock Boys ambayo itaongozwa na Will Smith akishirikiana na kampuni ya Overbrook Entertainment.
The film is “based on the story of the infamous West Baltimore illegal-dirt-bike riders who were the subject of an indie documentary that debuted at SXSW in 2013.”
Meek Mill was lined up to play the role of Wheelie Wayne, Page Six sources say.

0 comments:

Post a Comment