Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 12/01/2016 01:21:00 AM
No comments
Waswahili wanasema raha jipe mwnyewe hivyo ndivyo navyoonekana muimbaji mahiri Mariah Carey baada ya kukutwa akila raha katika ufikwe wa bahari na backup dancer wake na hii ni baada ya kumwagwa na billionaire ex-boyfriend wake, James Parker.
Mariah Carey ameonekana akibusiana na dancer wake anayefahamika kwa jina la Bryan Tanaka,katika ufukwe wa bahari huko Hawaii jana November 27.
Tangu Carey amwagane na bilionea Parker, kumekuwa kukitajwa sababu mbalimbali za kuahana kwa kwao huku kubwa likitajwa kuwa ni matumizi ya pesa yaliyokithiri ya Mariah Carey lakini zipo za chini zinazosema bilionea huyo alikuwa akimhisi dancer Tanaka.
0 comments:
Post a Comment