Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, August 25, 2012

 

Usher ashinda kesi dhidi ya Ex-Wife Tameka

Reports za ushindi wa kesi ya zilitufikia august 24 jioni.Ile vita ya juu nani atakaa na watoto baada ya Usher na Tameka Foster Raymond kuachana mwaka 2008  imefikia mwisho baada ya judge kuamua Usher achukue mikoba. Mpango mzima na mchakato wa Usher kukabidhiwa mikoba ya kuishi na watotot wake Usher Raymond V, 4, na Naviyd Ely Raymond, 3, utaanza Sept. 1.Tameka bado anazo haki za kuwa karibu na watoto japo haijawekwa wazi ktk taratibu zipi.

 


 

 

Timbaland atangaza majina ya sinngles zinazokuja za Missy Elliott

Baada ya kimya kingi sasa mashabiki wa Missy Eliott wanaweza kupata ladha waliyoikosa kwa muda mwingi,na hii ni baada ya producer Timbaland kufunguka kwamba Missy anakuja na tracks mbili  "9th Inning" na "Triple Threat": .Missy alifanya vema sana na track zake kama work it,one minute man nk.


 

 

 

 

Rihanna ku perform ktk MTV Video Music Awards.

Pop princess ameongezwa ktk list ya artist watakaoperform ktk ukumbi wa the Staples Center huko Los Angeles September 6 at kuanziaa saa 2 usiku.Rihanna atashiriki jukwaa na Alicia Keys, Pink, One Direction, Green Day, and Taylor Swift.Ma mc watakaongoza shuguli ni Kevin Hart will ,Wiz Khalifa, Mac Miller, Miley Cyrus nk.Ikumbukwe kuwa Rihanna anaongoza kutajwa ktk tuzo hizi kwa kuwa na nafasi 5 ikiwemo ya Video of the Year, Best Female Video, and Best Pop Video for “We Found Love.”

.

 

 

0 comments:

Post a Comment