Saturday, August 25, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mapema wiki hii rapper Lil Wayne alizua gumzo kwa kusema i dont like New York na kusapotiwa na Birdman,huku Senator wa jiji hilo kumtaka aombe radhi.Busta Rhymes amekuja na mtazamo tofauti na kusema anajua sababu zilizompelekea Lil Wayne kutamka i dont like New York,Busta anaamini chanzo ni pale Lil Wayne alipopelekwa jela huko Riker's Island New York kutumikia kifungo cha mwaka mmoja kwa makosa ya silaha,kitu ambacho anaamini alisingiziwa.
0 comments:
Post a Comment