Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Wednesday, May 1, 2013
Posted by djnicotracktz
on 5/01/2013 03:24:00 AMNo comments
KELLIS KUACHIA ALBUM SEPTEMBER
Kelis amekuwa kimya sana,lakini sasa amekuja na kitu kipya The
“Bossy”.Hii ni album ambayo anataraji kuiachia mwezi september na itakuwa ni album ya 6 kwa mwanamziki huyu ambaye ni mtalikiwa na mwamba wa hip hop Nas.
0 comments:
Post a Comment