Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 5/01/2013 03:39:00 AM
No comments
CHRIS BROWN KUACHIA YA ALBUM YAKE 'X'

July 16 inaonekana kuwa kama ni big day for albums. Pusha T’s My Name Is My Name, Chris Brown wamepanga kuachia album zao July 16.kwa Chris Brown hii itakuwa nia album yake ya 6. Breezy ametumia Twitter kuwatangazia fans wake taarifa hizo na kama haitoshi akadrop new song inayoitwa“I Can’t Win,”humu ameongelea mahusiano yaliyofikia breaking point.Lakini Hili song halitapatikana katika abum ya X.
0 comments:
Post a Comment