Kiongozi wa Ruff Ryders,DMX na mshikaji wake wa siku nyingi,producer Swizz Beatz wameonyesha dalili za kuungana na kuirudisha tena Ruff Ryders kwa kuwa pamoja muda mwingi.
Producer Swizz Beatz kupitia Instagram aliweka picha ya yeye na DMX wamelaia kofia nyeusi zenye maandishi mekundu,DMX na kuandika"It's time for this to happen again got da**it!"
Monday, October 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment