Rihanna amerudi katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kutoweka kwa takribani miezi sita.Badgalriri amedhihirisha kurejea na kuungana na mashabiki wake wapatao millioni 13 jumapili asubuhi kwa kupost picha yake iliyo chini juu na kuandika ujumbe: “Hellurrr
#badgalback.”
Akaunti ya Rihanna iliondolewa mwezi May baada ya kutuma picha akiwa bila nguo ya juu piach ambayo ilitumika katika jarida la kifaransa la Lui. Picha hiyo iliyoonekana kama ni ya utupu iliababisha kuvurugika kwa akaunti yake na kubaki ya giza.
Picha zingine zilizozua utauta ni ile aliyopiga akiwa amepozi katika msikiti huko Abu Dhabi.
Kwa kurejea kwake inaonyesha Rihanna na wamiliki wa Instagram wamemaliza tofauti zao.
Tazama picha ya kwanza Rihanna kuiweka tangu arejee kwa Insta:
Monday, November 3, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment