Kutoka mitindo,muziki hadi kuigiza filamu kunamfanya rappa muaustralia Iggy Azalea 24 kuoneka ana vipaji vya kuosha.
Iggy Azalea‘ kushiriki katika filamu ya Furious 7 kunampasisha moja kwa moja rappa huyo wa kike katika uliumwengu wa filamu.
Katika filamu inayokuja ya Fast & Furious 7,Iggy amepewa nafasi kubwa ya kuigiza kwani ataigiza kama rafiki wa star kinara wa filamu hiyo, Vin Diesel
Akiongea na mwandishi wa Access Hollywood, Iggy amesema,japo nitaonekana napeperusha bendera katika mstari wa kuanzia na kumalizia mashindano pia nimeigiza kama rafiki wa kinara wa filamu hiyo kubwa ya Fast & Furius 7, Vin Disel.
Monday, November 3, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment