Michelle Obama tarehe 17 jan alikuwa akisherekea kutimiza miaka 50 hivyo kukaandaliwa birthday bash iliyotawaliwa na burudani za ma pop stars
kama Beyonce,John Legend na watu maarufu kadhaa wakiwemo wana siasa na watu wa entertainment kama Jennifer Hudson,John
Legend,Stevie Wonder,Mary J. Blige, Magic Johnson,Samuel L. Jackson,Smokey Robinson na Gladys Knight.
Katika sherehe hiyo hapakuwa na mlo wa usiku yaani dinner bali wageni walijiburudisha kwa vinywaji na vitafunwa (dessert).President Obama alitoa lisaa fupi na baadaye alijumika katika dance floor.
Cell phones na cameras havikuruhusiwa balia kulikuwa na watu maalumu wa kuchukua picha za wageni wote waliofka.
Monday, January 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment