Raisi Obama amesema alipokuwa kijana alitumia bangi,anakili si kitu kizuri na hakuona tofauti sana na sigara ila anaamini bangi haina madhara makubwa kama ulevi.Raisi Obama amesema hayo kufuatia kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi katika miji ya Colorado na
Washington.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment