Undefeated boxing champion Floyd Mayweather, Jr. amepamba vichwa vya habari weekend hii baada ya kutangaza kwamba ana mpango wa kustaafu.Floyd Mayweather Jr. amesema pambano lake la "September 2015 litakuwa ndiyo pambano lake la mwisho. Mayweather aliwaambia wageni katika gala dinner huko South Africa siku ya ijumaa na kusema pia anakumbuka pambano lake la kwanza akiwa bado mdogo lilikuwa mwaka 1987.
Mayweather atapanda tenda ulingoni mwezi May ambapo atapmbana na British fighter Amir Khan. Mayweather ana recodi ya 45-0 yenye 26 knockouts tangu atambulike mwaka 1996.
Floyd Mayweather Jr pia ameongelea juu ya kwanini hana mpango wa kupigana na one-time champion Manny Pacquiao.anasema aliongea naye wapambane kwa kumpa offa ya dolla millioni 40 ambapo Manny Pacquiao alikataa na kutaka kupewa 50-50 hivyo haikuwezekana.Kwa bahati mbaya akapambana na Timothy Bradley na akashindwa na mbaya zaidi akapiwa tena na Marquez
na sasa ana matatizo ya kudaiwa tax ndiyo anasema yupo tayari kupambana nami kwa ofa yeyote.
Monday, January 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment