Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, June 28, 2014

 
Mwezi October,binti wa rappa Eminem,Hailie alitajwa malikia baada ya kufanikiwa kuingia kusoma elimu ya juu katika shule ya Chippewa Valley High School na mwezi June tarehe 11 amehitimu masomo yake kwa maksi za juu na kutunukiwatuzo ya  Academic Excellence.Hailie baada ya kupokea tuzo hiyo aliwapongeza wazazi wake kwa msukumo waliompatia kwa kusema: "My mother and father are because they have pushed me to be the person I am and have given me all the support to achieve what I have.
Eminem alishawahimuimbia bintiye wimbo "Hailie mwaka 2002.

0 comments:

Post a Comment