Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, June 30, 2014

Pharrell-Williams-winner-BET-Awards-2014
Beyoncé ndiye aliyejizolea tuzo nyingi kuliko wote baada ya kuondoka akiwa na tuzo tatu katika sherehe za utoaji wa tuzo hizo zilizofanyikia katika ukumbi wa Nokia Theatre huko L.A
The pop superstar Boyonce alichukua tuzo za Best Female R&B/Pop Artist na Best Collaboration na kama haitoshi alitumbuiza na mumewe Jay Z Ttrack “Partition”.”
Pharrell Williams alijizolea tuzo mbili za Video of the Year na Best Male R&B/Pop Artist.
Aliyeafuatia ni August Alsina alijipatia tuzo za Best New Artist na Viewers’ Choice na badaye kutumbuiza
jukwaa moja na mastaa Trey Songz na Chris Brown.

Tazama orodha ya washindi wengine wa tuzo za Bet 2014 hapo chini:

Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé

Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams

Best Group
Young Money

Best Collaboration
Beyoncé f/ JAY Z – “Drunk In Love”

Best Male Hip-Hop Artist
Drake

Best Female Hip-Hop Artist
Nicki Minaj

Video of the Year
Pharrell Williams – “Happy”

Video Director of the Year
Hype Williams

Best New Artist
August Alsina

Best Gospel Artist
Tamela Mann

Best Actress
Lupita Nyong’o

0 comments:

Post a Comment