Gazeti la Daily Mail limeandika,R&B diva Mya ameongea kwa mara ya kwanza tangu minongo'no kuhusu yeye kuhusishwa na kusababisha matatizo katika ndoa ya mastaa Jay Z na mkewe Beyonce kwamba yeye ndiyo chanzo kwani amekuwa katika mahusiano na rappa Jay Z kwa miaka mingi.Kupitia akaunti yake ya Instagram muimbaji Mya alikutana na maswali ya wanaomfuata kama :
"kimdafuture Hear you and Jay z had an 11 year affair.
@kissmya are you his side chick or nah?"
Ndipo Mya alipojibu "kissmya @kimdafuture Never did, never was, never will.Thirsty sources with no facts and that's the 'media' for you-especially today. I play second to no one, pay my own bills, have my own label, own management company, rely on God only and respect myself & marriage way too much for nonsense.
akimaanisha hajawahi,hana mpango na hatowahi kutoka na Jay Z ni vyombo vya habari vinazua tu.Si mke mwenza wa yeyote na anajilipia mwenyewe bili zake,ana rec label yake,ana management company yake zaidi ya hapo anamtegemea Mungu.
Friday, July 4, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment