Mtandao wa Tweeter ni uwanja huru kwa watu maarufu na mashabiki wao kutoa mawazo yao,kupongezwa,kuungwa mkono ama kupingwa wakati mwingine.
R&b star Rihanna na star wa mpira wa kikapu wa ligi maarufu duniani ya NBA,Dwight Howard walituma tweet za kampeni za #FreePalestine wakiomba kusitishwa kwa kile kinachitwa mashambulizi kwa Wapalestina yaliywaua zaidi ya 200 yaliyofanywa na wa Israel dhidi huko ukanda wa Gaza.
Mastar wengine ni ma rappa Waka Flocka na French Montanna ambao walitweet kuhusu kampeni za #FreePalestine lakini wote walizifuta baadaye baada ya watu wanaosemekana kuwa ni wa Israel kuwa juu na kuwatisha.
Wednesday, July 16, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment