Japokuwa walikuwa na matokea mabovu msimu uliopita kulinganisha na miaka 20 iliyopita, Manchester United wameingia mkataba mnono wa miaka 10 na Adidas kwa kiasi cha paundi millioni 750 (sawa na paundi billioni 1.28 billion).Kwa mkataba huo Manchester United inaingia katika historia ya kuwa kilabu cha kwanza cha michezo kuwa na mkataba mnono kiasi hicho.
Mkataba wa Adidas na Man United utaanza msimu wa 2015/16baada ya mkataba uliopo sasa na Nike kuisha. Arsenal walitangaza mweziJanuary that has Puma paying £30 million ($51 million) a season for the next five years to be the London club's kitmaker.
0 comments:
Post a Comment