Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 16, 2014


Mambo hayakuwa sawa pale  ‘Love & Hip Hop’ star Stevie J alipofikiri nisawa kuzituma picha chafu za muigizaji mwenzake wa tamthilia za ‘Love & Hip Hop’ ,Benzino akiwa na msichana Althea Heart.Stevie J alijikuta aktika vita ya maneno baada ya kutuma picha hizo Twitter July 14 zinazomuonyesha mrembo Althea   Heart akiwa kimapenzi na Benzino!

0 comments:

Post a Comment