Iggy Azalea awachana paparrazy,awaambia wana Ebola baada ya kmfuata fuata na kumzonga alipokuwa akiingia madukani usiku kujipatia mahitaji akiwa na rafiki yake huko Los Angeles.
Mastar wengi wana namna ya kuupokea ugeni wa waandishi hasa pale wanapowazonga na kuwasababishia usumbufu mkubwa,Iggy alimalizana na waandishi na wapiga picha hao kwa namna ya kipekee na kwaambia,nadhani mna Ebola.
0 comments:
Post a Comment