Jordin Sparks amerudisha lawama kwa aliyekuwa mpenzi wake, Jason Derulo na kukanusha kwamba sababu za wao kutengana baada ya kuwa pamoja kwa takribani miaka 3 ni kulazimisha ndoa haraka.
Jordan amefunguka na kusema si kweli na ameuongopea uma lakini anamuombea maisha mema alipokuwa akimjibu mpiga picha wa mtandao wa TMZ japo Jason Derulo alimkandya wakati akihojiwa na mtangazaji wa kituo cha radio ,Ryan Seacrest.
Thursday, October 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment