Akiongea na waandishi wa habari,mmoja wa wana G.O.O.D Music,Mali Yusef amesema wapo jikoni kuipika albamu hiyo na tayari vibao 20 vipo tayari Mwezi August, West aliwaambia waandishi wa jarida la GQ kwamba anampango wa kuachia albamu mwishwa mwaka na kusema inawezekana ikawa mwezi September lakini inaweza kuchukua muda zaidi sababu kwasasa anamajukumu ya kifamily,mtoto na ana kazi za Adidas. Kipande cha dakika 2 cha mmoja kati ya nyimbo zinazokamilisha albamu hiyo, “All Day” kilivuja mwezi August. |
0 comments:
Post a Comment