Lil Wayne na kundi zima la Young Money wamefunguliwa mashataka na producer aliyedai Wayne & Co. wanamdai maelfu ya madola.
Ramon Owen -- aka REO anadai aliproduce track ya Lil Wayne, "Mirror" kwaajili ya albamu ya rappa huyo ya mwaka 2011, "Tha Carter IV"ambayo iliuza zaidi ya nakala millioni 2.
REO anasema rappa huyo alimuahidi sehemu ya faida ya mauzo ya single hyo lakini haikuwa hivyo hivyo amefungua mashtaka akitaka akatiwe mpunga kama walivyokubaliana hapo hawali.
Tuesday, October 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment