Facebok
RSS
Twitter
Email
Search for:
DJ NICOTRACK
HOME
DJ NICOTRACK MIX
AUDIO BONGO
VIDEO
ENTERTAINMENTS
PHOTO
LIFE STYLE
SPORTS
Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania
Saturday, November 8, 2014
Iggy Azalea na Nick Young wanunua mjengo wa Selena Gomez
Posted by djnicotracktz
on 11/08/2014 02:52:00 AM
No comments
Mastaa wapenzi,Iggy Azalea na Nick Young imeripotiwa wamenunu mjengo ambao ulikuwa unamilikiwa na muimbaji na muigizaji wa filamu Hollywood,Selena Gomes.Taarifa toka kwa watu wa karibu na watu hao zinasema,Nick Young na Iggy Azalea wamenunua nyumba hiyo ya kifahari kwa dolla Millioni 3.95 nawameshatanguliza dolla millioni 3.45
Nyumba hiyo yenye eneo linalokaribia ukubwa wa ekta 1 ipo huko Los Angeles.
Tazama baadhi ya picha za jumba hilo:
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Share to Pinterest
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Total Pageviews
Popular Posts
Dj Nicotrack. Powered by
Blogger
.
0 comments:
Post a Comment