Beyoncé kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa nafasi kwa mashabiki kuiona picha ya kwanza ya mtoto wa kiume wa muimbaji mahiri Kelly Rowland' ikiwa ni siku mbili tu zimepita tangu muimbaji huyo aliyeng'ara na kundi Destiny's Child kupata mtoto huyo waliyempa jina la Titan Jewell Weatherspoon.
Beyonce aliweka picha hiyo na kuandika ujumbe:"There's no better feeling than holding my beautiful nephew," "I thank god for the honor of witnessing my sisters journey into
motherhood. I've always dreamt of our little ones growing up together.
I'm so thankful for our bond. Baby Ty, I love you so much. Congrats to
my Spoons."
Tazama picha hiyo hapo chii:
Friday, November 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment