JOHANNESBURG—
South Africa wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa raisi wa kwanza wa nchi hiyo aliyechaguliwa kidemokrasia, Nelson Mandela .
Wanachi wa South Africa wanaongozwa President Jacob Zuma kuadhiomisha mwaka mmoja tangu kufariki kwa Mandela aka Madiba aliiyefikwa na umauti akiwa na umri wa miaka 95 mnamo December
5, 2013.
Nelson Rolihlahla Mandela (18 Julai, 1918 - 5 Desemba, 2013) alikuwa rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia nchini Afrika Kusini. Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa chama cha ANC aliyepinga siasa ya ubaguzi wa rangi (Apartheid)
katika Afrika Kusini. Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha kwa miaka
27 kutokana na harakati zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa
katika kisiwa cha Robben.
Baada ya kuachiliwa huru mwaka 1990 alianzisha sera ya maridhiano au
sera ya amani baina yake na watu weupe nchini Afrika Kusini jambo ambalo
watu wengi hawakulitegemea. Mwaka wa 1993, pamoja na Frederik Willem de Klerk alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani ambayo ni tuzo nadra sana kutolewa duniani
Friday, December 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment