Eminem si rap God,hayo yamejidhihirisha baada ya MC mmoja ambaye amedai Marshall Mathers ameunakili wimbo wake wa "Lookin Boy" bila makubaliano na hivyo anafungua mashitaka ya madai ya mamilioni.
MC huyo ambaye ni Raymond Jones ambaye ni rappa toka katika kundi la Hotstylz,anamshitaki Eminem na ametaka alipwe kiashi cha dolla millioni 8 kutokana na wimbo wake 'looking Boy'' kunakiliwa sehemu ya wimbo huo kama sekunde 25 na kutumiwa katika wimbo "Rap God".
Upande wa rappa Eminem bado hawajaongea lolote juu ya madai hayo.
Tuesday, January 6, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment