John Legend alisherekea miaka 10 ya tangua atoe albamu iliyofanikiwa zaidi ya Get Lifted,sherehe ilifanyika huko NYC.Kinara huyo wa miondoko ya R&B pia alifikisha miaka 36 mwezi ulipita na kusherekea na mkewe,Chrissy Teigen na marafiki zake mastaa wakiwamo Kanye West na Kim Kardashian, Robert De Niro,
Katie Couric, Estelle,Michael Strahan.
Q-Tip alikuwa akichezea turntables na the birthday boy alizawadiwa keki yenye umbo la mfano wa Piano.
Joh Legend alitoa albamu yake ya Get Lifted akiwa chini ya lebo ya G.O.O.D. mwezi December mwaka 2004, Get Lifted ilichukua tuzo kubw na ya heshima duniani a Grammy kama Best R&B Album na iliyobeba nyimbo kama “Ordinary People.”
Saturday, January 10, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment