Mama wa aliyekuwa muimbaji mahiri Whitney Houston anasema ameshajiandaa kiakili kukabiliana na hali ya huzuni itakayomkabili pindi umauti utakapomfika mjukuu wake Bobbi Kristina na kusema sababu ni mpango wa Mungu..
Cissy Houston akihojiwa na waandishi wa habari huko NY alisema:Nachukua nafasi hii kuwashukuru wote walioshiriki nasi katika maombi haswa katika kipindi hiki kigumu,na tunatakiwa kumshukuru Mungu kwa kila linalotekea,ikitokea bwana aktenda miujiza na kumuamsha ni jambo la kushukuru na hata kama atoamka kwa imani yetu ni kwamba binti huyu atapumzika kwa amani.
Bobbi hivi karibuni aliamisha hospitali na kupelekwa huko Atlanta ambapo bado anaendekea kupatiwa matibabu akiwa bado kwenye koma.
Thursday, March 26, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment