Lil Wayne hivi karibuni alijiachia vya kutosha katkamitaa ya Hollywood akiwa na mpenzi wake wa sasa, Christina Milian na kufanya kile kilichokuwa kikichukul;iwa kama minongo'ono sasa kuwa official kwamba wao ni wapenzi.
Weezy na Christina walionekana wakiwa wameshikana mikono wakitoka katika utengenezaji wa filamu siku ya jumanne kudhihirisha kwamba mambo hadharani sasa ni wapenzi na watu waju hivyo.
Christina alisainiwa na Young Money alikuwa kimya haswa alipokuwa akiulizwa juu ya mahusiano yake na bosi wake yaani Lil Wayne.
Thursday, March 26, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment