Rappa mwenyeji wa Compton,Kendrick Lamar amejitengezea history kufuatia albamu yake ya tatu na mpya To Pimp a Butterfly kusikilizwa na idadi kubwa ya watu siku moja tu baada ya kuachiwa.
Taarifa kwa mujibu wa Billboard,
zinasema,albamu hiyo yenye nyimbo 12 ambayo imetoka wiki moja kabla ya tarehe iliyopngwa,imesikilizwa na zaidi ya mara milioni 9.6 na kuuza zaidi ya nakala 44,60 ikiwa ni siku ya kwanza tangu kuachiwa na kuvunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Michael Buble,Christmas.
To Pimp a Butterfly kwasasa ndiyo albamu inayoshikilia No. 1 katika iTunes.
Kendrick amepata ujumbe wa pongezi toka kwa mastaa Mac Miller, Justin Timberlake na Kanye West.
Kanye West aliandika ujmbu huu katika akaunti yake ya Tweeter:
KENDRICK IS AN INSPIRATION. THANK YOU FOR THE
VIBRATIONS AND THE SPIRIT. YOUR MEANING, MESSAGE AND EXECUTION ARE GIFTS
TO THE WORLD.
Justin Timberlake :Just getting into it but WOW. That boy @kendricklamar!!!!
0 comments:
Post a Comment