YMCMB Star,Drake na timu yake siku ya jumamosi walikuwa wakila bata ndani ya club moja huko Dubai inayofahamika kama Movida nightclubt, ndipo alipotokea mtu mmoja na kumuiamisa chini na kumkandamiza rappa huyo kitendo kilichopelekea rappa huyo na walinzi wake kukasirika na kutaka kuanzisha ugomvi lakini kwa haraka vurugu hiyo ilitulizwa na walinzi wa club hiyo waliofika eneo la tukio na kuwatawanya.
Drake alikuwa Dubai kwa mualiko wa familia ya mfalme.
Thursday, March 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment