J. Cole ni moja kati ya marapa wachache
waliofanikiwa kupata elimu ya juu na kumaliza hadi kupata degree katika
chuo cha Magna Cum Laude. Akifanyiwa mahojiano na Tavis Smiley, rappa J.Cole ameelezea nini amebadilisha katia sanaa ya muziki wa hip hop.
J.Cole amesema aliishi
maisha ya shule kama mwanafunzi wa kawaida huku akiwa na ndoto ya kuwa
siku moja elimu itakuwa msaada kwake mbali na kuwa ya kupasi mitihani na
maksi nzuri na kuongeza kusema hapa mwanzo alikuwa akijisomea na
kukariri masomo siku moja kabla ya mtihani wa majaribio ili tu apasi.
Rappa huyo ameongeza kusema hapo awali alikuwa akisoma tu apate degree
kabla ya kuwekeza katika ndoto yake ya kuwa rappa mwenye mafanikio.
Siyo tu Cole alibalance
shule na muziki bali alikuwa mmoja kati ya wachezaji wa kutegemewa
katika timu ya shule ya mpira wa kikapu(basketball).
J.Cole
anajisia kwa kusema amefankiwa kufanikisha yote haya tu kwasababu
alijiwekea malengo na aliheshimu mambo kwa wakati na kuongeza kusema:
"If you want something,
you’re gonna find a way to make it happen."
Thursday, March 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment