Wakati bondia Manny Pacquiao anapambana kupata free chicken for life, Floyd Mayweather anatumia gharanma sawa na za kununua garikwa msosi tu kila sikU.Mtandao wa TMZ
umeripoti Money May is anamlipa mpishi maarufu na maalumu wa Las
Vegas,Chef Q, kiasi cha dola184,000 kuendeea kumuandalia misosi kila
siku mpaka siku ya mpambano May 2.
Taarifa zaidi zinasema Chef Q
hatozi kiasi hicho kwa mlo lakini sababu Floyd mwenyewe ametaka iwe
hivyo kwa kile alichokiona kwamba misosi anayopatiwa inastahili
kugharamiwa hivyo.
0 comments:
Post a Comment