Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 11/10/2016 01:36:00 AM
1 comment
Rapper, Snoop Dogg amesema siku ya November 9, 2016, ni siku mbaya kukumbukwa America ukiachilia shambulio la kigaidi la September 11.
Rapper, Snoop Dogg ambaye bila shaka atakuwa katika furaha ya kuhalalishwa kwa matumizi ya mihadarati aina ya bangi huko California kupitia mtandao wa Twitter jana November 9, 2016 aliongelea mipango yake ya kuhama nchi na kuhamia nchini Canada kwa msaada wa rapa mwenzake,Drake.
Rapper, Snoop Dogg alipost picha ya mnara uliopo Canada na kuandika caption:
"My new home," "@champagnepapi I need the hookup on some property. I'm going to the 6ix," he added.
Your music is amazing. You have some very talented artists. I wish you the best of success.
ReplyDeleteDonaldTrump