Inawezekana tangu Tiwa Savage achukue likizo ya uzazi ,Yemi ametumia nafasi hiyo kufanya kweli katika soko la muziki na kung'ara mpaka kufikia kutajwa kama number one female star in Nigeria and perhaps Africa.
Upande wa vyombo vya habari haupingi tafiti hii sambamba na vyombo vya habari vya kimataifa japo Tiwa Savage ametajwa kupiga hatua kubwa kimuziki baada ya kusainiwa na record laber kubwa ya Roc Nation Jay z.
Thursday, November 10, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment