Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, June 24, 2014

Bow Wow
Bow Wow sasa amekua na anahitaji mabadiliko.Baada ya miaka 20 ya kutumia jina la jukwaani,Bow wow,sasa rappa na mtangazaji huyo wa televisheni wa kipindi cha the “106 & Park” ametangaza kustaaf kuacha kulitumia jina hilo.
Rappa huyo mwenye umri wa miaka 27 amesema baada ya tuzo za BET june 29 ataanza kutumia jina lake halisi la kuzaliwa,Shad Moss.
Shad Moss’ anasema amefanya mambo mengi kama bow wow sasa ananona muda wa mabadiliko umewadia kwani jina “Bow wowhaliendani na mazingira ya sasa kwani sasa ni baba,mfanyabiashara,mcheza filamu,mtangazaji wa TV hivyo MR Moss litafaa zaidi.
Shad Moss litaanza kutumika rasmi baada ya tuzo za BET june 29 na akitoa ngoma yake mpya ya  “Right Now” feat K Camp
Ikumbukwe jina Lil Bow Wow alipewa mwaka 1993 na rappa Snoop Dogg ambapo mwaka 2002 alibadilisha na kuwa Bow Wow.

. 

0 comments:

Post a Comment