Pitbull matatani kwa maswala ya kisheria upande wa madai.Mara hii ameshitakiwa na wenye wimbo wa miaka ya 70 ambao Pitbull aliubadilisha na kuuita Timber na kumshirikisha K$sha na wimbo huo kupata mafanikio makubwa ikiwemo kutamba katika chati za Billboard na kuuza zaidi ya nakala millioni 4 marekani pekee acha kwingineko.
Gazeti la NYDailyNews ileandika Lee Oskar, Keri Oskar na Greg Errico wamefungua kesi ya madai huko katika mahakama ya Manhattan ijumaa ya June 20 wakitaka fidia ya mafanikio toka katika wimbo “Timber” ambao umetokana na wimbo wao wa mwaka 1978 “San Francisco Bay.”
Tuesday, June 24, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment